Taarifa ya msiba wa Dr. Gurnah

Tuna masikitiko na simanzi kubwa sana kuwaarifu kifo cha Dr. Badriyah Abubakar Gurnah (pichani), kilichotokea jana Jumamosi, 22.06.2019 katika Hospital ya Taifa ya Muhimbili. Maziko yamefanyika leo Jumapili, 23.06.2019 kwenye makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam. Dr. Badriyah Gurnah alisomea udaktari (Medical Doctor) Marmara University, Istanbul, Turkey chini ya udhamini...

Read more...

Taarifa ya msima wa Sheikh Ahmed Islam

Innalillahi wainna ilayhi raajiuun...! Mzee wetu Sheikh Ahmed Islam, mmoja miongoni mwa waanzilishi wa TMSTF amefariki jana 23.12.2017. Maziko yatafanyika leo Jumapili 24.12.2017 baada ya Swalaatil-Asir. Ataswaliwa Msikiti wa Maamour, Upanga na kuzikwa Makaburi ya Wangazija, Barabara ya Bibi Titi. Shughuli zote za maziko, wanawake na wanaume zinafanyika Msikiti Maamour. Mwenyezi Mungu Amrehemu na...

Read more...