Taarifa ya msiba wa Dr. Gurnah

Taarifa ya msiba wa Dr. Gurnah

Tuna masikitiko na simanzi kubwa sana kuwaarifu kifo cha Dr. Badriyah Abubakar Gurnah (pichani), kilichotokea jana Jumamosi, 22.06.2019 katika Hospital ya Taifa ya Muhimbili. Maziko yamefanyika leo Jumapili, 23.06.2019 kwenye makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam.
Dr. Badriyah Gurnah alisomea udaktari (Medical Doctor) Marmara University, Istanbul, Turkey chini ya udhamini wa IDB (TA/1985/003) kati ya 1985 – 1992.
Dr. Badriyah Gurnah aliajiriwa na Bank of Tanzania (BoT) kuanzia 2004 hadi jana mauti yalipomfika. Ameacha mume na watoto 3.
Mwenyezi Mungu amrehemu na ampe kauli thaabit..
Aamin

Share this post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *