Author - IDB-GAT

Taarifa ya msiba wa Dr. Gurnah

Tuna masikitiko na simanzi kubwa sana kuwaarifu kifo cha Dr. Badriyah Abubakar Gurnah (pichani), kilichotokea jana Jumamosi, 22.06.2019 katika Hospital ya Taifa ya Muhimbili. Maziko yamefanyika leo Jumapili, 23.06.2019 kwenye makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam. Dr. Badriyah Gurnah alisomea udaktari (Medical Doctor) Marmara University, Istanbul, Turkey chini ya udhamini...

Read more...