Taarifa ya msiba wa Dr. Gwao
Tuna masikitiko makubwa na simanzi sana kwa kuondokewa na ndugu yetu Dr. Mohamed Abdulrahman Gwao (1976 – 2018) leo 27.09.2018 saa 5 asubuhi Hospital ya Muhimbili Mloganzila.
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Amina.
Leave a Reply